Hot Mat stickers
Someone travelling in a matatu
by @dig
Sign in to save this Experience, react and reuse its memes
Mat stickers

Chunga mzigo wako uliyekaa
naye ni mwizi kama wewe

Kama raha yaua kwa nini unywe sumu

Nyuki ni nzi aliyeamua kua
serious na maisha yake

Vumilia kama bibi
ya mlevi

Kubebwa ni Bure
kushuka ndio pesa

Mapenzi ni pesa maua pelekea nyuki

Ata nyanya yako alikua Manzi😂

Songea mwezako hii
sio wheelchair

Ukipenda chips usiogope mimba
