"Hakuna kitu confusing kama mtu akikuopenia up some sad stuff na ukona zero comforting skills. Mimi kuna mwenye alianza
by @vako

"Hakuna kitu confusing kama mtu akikuopenia up some sad stuff na ukona zero comforting skills. Mimi kuna mwenye alianza kulia nikakosa kitu ya kumuambia nikajipata nikisema 'Basi nyamaza ama nichukue kiboko' tukajipata tukicheka wote na a sad soul was saved"
Sign in to react, save and comment
